Kizaiwa

Kizaiwa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina na Myanmar inayozungumzwa na Wajingpo. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kizaiwa nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 30,000 nchini Myanmar (1997). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kizaiwa iko katika kundi la Kiburmiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search